• RAIS wa Zanzibar Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza umuhimu wa Ibada katika kutatua matatizo ya jamii

    RAIS wa Zanzibar Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza umuhimu wa Ibada katika kutatua matatizo ya jamii0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mbali ya ibada ya sala tano ni vyema misikiti ikafanya kazi ya kushughulikia matatizo ya jamii. Alhaj Dk. Mwinyi alitoa rai hiyo jana Ijumaa March 12, 2021 wakati akiufungua Msikiti  Taqwaa ulioko Gombani ya kale Chake Chake, Mkoa wa

    READ MORE
  • MBARONI KWA UZUSHI KUHUSU RAIS MAGUFULI

    MBARONI KWA UZUSHI KUHUSU RAIS MAGUFULI0

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Mgonjwa. Kamanda Kingai amesema kumekuwa na tabia ya baadhi wa Watu pindi wanapotumiwa taarifa za uzushi nao wanasambaza bila kujua

    READ MORE
  • VIJANA WATAYARISHWE JUU YA SOKO LA AJIRA WANGALI VYUONI

    VIJANA WATAYARISHWE JUU YA SOKO LA AJIRA WANGALI VYUONI0

    NA SALEH RAMADHANI DODOMA, MACHI 13.2021. Imeelezwa kuwa kila Mwaka  kati ya vijana 50,000 na 60,000 tu miongoni mwa vijana milioni moja wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka ambao hubahatika kupata ajira kwenye sekta rasmi. Hayo yamebainishwa  jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojihusisha na masuala ya utafiti wa namna ya kupunguza umaskini Tanzania (

    READ MORE
Translate »