RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Wakristo wameaswa kuendelea kuwa na imani ya miujiza ya Yesu Kristo katika kufanikisha masuala mbalimbali ikiwemo ya kiroho. Wito huo umetolewa jana Machi,13,2021 jijini Dodoma na Dkt.Hery Mhando katika ibaada kuu ya Sabato kanisa la Waadventista Wasabato Kizota iliyokutanisha mitaa miwili ya Kizota na Chang’ombe. Dkt.Mhando amesema kuwa katika Zaburi 91 imesheheni
READ MOREHabari za Asubuhi Msomaji wa Jfivetv.com, nakukaribisha kuperuzi yale yaliyoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania ya leo Jumapili March 14, 2021.
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi watakaokabidhiwa nyumba za vijiji za maafa zilizojengwa Tumbe Kisiwani Pemba na Nungwi kwa Unguja, kuhakikisha nyumba hizo wanazitunza ili zisipoteze haiba yake. Rais Dk. Mwinyi alisema nyumba hizo hivi karibuni zinatarajiwa kuzinduliwa kwa upande wa Unguja ikiwa ni pamoja na Pemba,
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mbali ya ibada ya sala tano ni vyema misikiti ikafanya kazi ya kushughulikia matatizo ya jamii. Alhaj Dk. Mwinyi alitoa rai hiyo jana Ijumaa March 12, 2021 wakati akiufungua Msikiti Taqwaa ulioko Gombani ya kale Chake Chake, Mkoa wa
READ MOREKamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Mgonjwa. Kamanda Kingai amesema kumekuwa na tabia ya baadhi wa Watu pindi wanapotumiwa taarifa za uzushi nao wanasambaza bila kujua
READ MORENA SALEH RAMADHANI DODOMA, MACHI 13.2021. Imeelezwa kuwa kila Mwaka kati ya vijana 50,000 na 60,000 tu miongoni mwa vijana milioni moja wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka ambao hubahatika kupata ajira kwenye sekta rasmi. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojihusisha na masuala ya utafiti wa namna ya kupunguza umaskini Tanzania (
READ MORE