• VIJANA WATAYARISHWE JUU YA SOKO LA AJIRA WANGALI VYUONI

    VIJANA WATAYARISHWE JUU YA SOKO LA AJIRA WANGALI VYUONI0

    NA SALEH RAMADHANI DODOMA, MACHI 13.2021. Imeelezwa kuwa kila Mwaka  kati ya vijana 50,000 na 60,000 tu miongoni mwa vijana milioni moja wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka ambao hubahatika kupata ajira kwenye sekta rasmi. Hayo yamebainishwa  jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojihusisha na masuala ya utafiti wa namna ya kupunguza umaskini Tanzania (

    READ MORE
  • Familia zimetakiwa  kufanya mazoezi  ili  kujenga afya  na kuepukana na magonjwa nyemelezi

    Familia zimetakiwa kufanya mazoezi ili kujenga afya na kuepukana na magonjwa nyemelezi0

    Na Barnabas Kisengi-Katavi March 13, 2021 Familia zimetakiwa kujenga mazoea ya kufanya mazoezi kwa pamoja ili kuweza kujenga afya za miili na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza na kuwafanya Watoto waweze kuelewa umuhimu wa kufanya mazoezi wangali wadogo.Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati

    READ MORE
  • WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA SIKU 30 KWA JESHI LA MAGEREZA KUWAHAMISHIA MAHABUSU GEREZA KARATU.

    WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA SIKU 30 KWA JESHI LA MAGEREZA KUWAHAMISHIA MAHABUSU GEREZA KARATU.0

    Na Mwandishi wetu Karatu. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa siku 30 kwa Jeshi la Magereza kuhakikisha Gereza jipya la Mahabusu Karatu linakamilika na kuanza kuhifadhi Mahabusu. Amesema Mahabusu wa Wilaya ya Karatu waliohifadhiwa katika Gereza Kuu la Kisongo jijini Arusha wahamishiwe katika Gereza hilo ambalo ujenzi wake upo katika hatua

    READ MORE
Translate »