RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa Tabora, limeazimia kufukuzwa kazi aliyekuwa Muuguzi wa zahanati ya Kalunde, Elipidius Kweyamba, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi na kumpa mimba. Akitangaza maamuzi ya Kamati ya Nidhamu katika kikao cha baraza hilo kilichofanyika jana Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ramadhan Shaban Kapela alisema wamefikia hatua hiyo
READ MORESerikali inawashikilia Watanzania watatu kwa tuhuma za kushirikiana na raia wa Jamhuri wa Czech kusafirisha nje ya nchi vinyonga 74 na nyoka sita kinyume na sheria.Akizungumza na vyombo vya habari leo Alhamisi Machi 11, 2021 mkoani Iringa, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema vinyonga na nyoka hao walikamatwa na maofisa wa forodha
READ MORENa Barnabas Kisengi-Njombe March 12, 2021 Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema ili kukabiliana na kushuka kwa kiwango cha uzalishaji wa zao la chai nchini Wizara yake itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mengi nchini. Amesema Wizara ya Kilimo itahakikisha inatumia wataalaam wake
READ MORELNa Scolastica Msewa, Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikiria watuhumiwa 23 wa matukio mbali mbali ikiwemo wizi wa vitu mbali mbali vilivyoibiwa msibani baada ya kupuliziwa dawa wafiwa huko Mlandizi mjini Kibaha. Akizungumzia na waandishi wa habari mjini Kibaha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Wankyo Nyigesa amesema tukio hilo la wizi
READ MORE