RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Barnabas kisengi Mpwapwa March 10 2021 Vitamin A ni vitamin muhimu sana kiafya. Hii ni vitamin ambayo husaidia katika ujenzi wa tishu laini (kwenye misuli, kani na viungo vya ndani), tishu ngumu za mifupa na tishu zinazounda viwambo vya njia zinazohifadhi belaghami (mucas). Aidha afisa Lishe asunta amesema vitamin A husaidia retina ya jicho kuzalisha
READ MORENa Barnabas kisengi March 10 2021 Serikali imelenga kuziwezesha Hospitali zote za Rufaa za Mikoa (26) nchini ili kuweza kuanzisha huduma za matibabu ya ugonjwa sugu wa figo ikiwemo usafishaji damu ifikapo mwaka 2025. Yamebainishwa hayo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima alipotembelea Kitengo cha usafishaji damu kwa
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar Machi 10, 2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuondokana na utaratibu wa kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa matibabu,
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 10.03.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wafanyabiashara wa nchini Kenya kuja kuekeza na kufanyabiashara Zanzibar hasa ikizingatiwa kwamba pande mbili hizo zina historia katika sekta ya biashara. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu
READ MORETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza zao
READ MORENa Mwandishi wetu- Dar es Salaam March 10, 2021 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, wanaendelea kukamilisha Mitaala ya vitabu vya masomo ya historia ya Tanzania, ambavyo pamoja na mambo mengine, vitajumuisha mkusanyiko wa historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika na kutoa ufahamu kwa
READ MORE