RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Machi 10, 2021 imepokea taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayogharimu zaidi ya bilioni 10.3. Akisoma taarifa ya utekelezaji ya Miradi hiyo mbele ya Kamati hiyo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard
READ MOREAwamu ya Tano ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli imewezesha ujenzi wa Barabara ya Shekilango yenye urefu wa km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, ikiwa na Upana wa mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya Barabara ya Morogoro na
READ MORETaarifa kwa ufisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira inakukumbusha mwananchi kuwa zimebaki siku 28,kufikia mwisho wa mataumizi ya vifungashio vya plastiki kama vobebeo.
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo. Akizungumza mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo alisema Serikali itasambaza Mwongozo wa usafishaji mito kwa kuondoa
READ MOREHATIMAYE Shule ya Sekondari maalum kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini ya Patandi iliyopo Jijini Arusha, imeanza kupokea wanafunzi baada ya serikali kukamilisha ujenzi wake kupitia Mradi wa Lipa kulingana na matokeo(EP4R). Akihojiwa na waandishi wa Habari, Mkuu wa Shule hiyo Janeth Mollel, amesema hadi sasa wanafunzi 143 ambapo kati yao 93 ni
READ MORENaibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange ametoa muda wa siku thelathini kwa Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe kuhakikisha unafanya ukaguzi wa manunuzi na matumizi ya Dawa katika Kituo cha Afya cha Mji huo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita ili kujiridhisha na malalamiko ya Wananchi ya ukosefu wa
READ MORE