RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dunstan Kyobya, amewataka Watalaam wa kilimo vijijini kusimamia Programu ya Ondoa Pori ili kuinua viwango vya uzalishaji na ubora wa mazao katika maeneo yao. Akizindua program hiyo katika Shule ya Msingi ya Naliendele, Manispaa ya Mtwara Mikindani Kyobya amesema kwamba Mkoa umepania kuongeza uzalishaji wa korosho na kuongeza ubora ili
READ MOREKatibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo, ameipongeza Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC),kwa mchango wake katika sekta ya elimu nchini huku akiahidi serikali kufanyia kazi maoni yanayotolewa ikiwamo kupunguza kwa mitihani ya majaribio. Akifungua leo Mkutano wa mwaka cha Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi za makanisa, Dk.Akwilapo,
READ MOREMsomaji wa jfive karibu uyatazame Magazeti ya leo January 26, 2021
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Januari 25, 2021 WAZIRI wa Kilimo Adolf Mkenda ameiagiza Bodi ya zao la Tumbaku nchini kukaa na wataalam kuangalia sababu ya bei ya zao la Tumbaku nchini kuwa chini huku Nchi nyingine zikiuuza Tumbaku hiyohiyo ya Tanzania kwa bei ya juu. Sanjari na hilo pia ameitaka Bodi ihiyo kukaa na kuangalia bei ya
READ MORETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA DADA WA SPIKA NDUGAI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki mazishi ya dada wa Spika wa Bunge Job Ndugai, Mary Ndugai aliyefariki dunia Januari 23, 2021, wilayani Mpwapwa, Dodoma. Mazishi hayo ya Mary Ndugai yamefanyika leo (Jumatatu, Januari 25, 2021) katika makaburi ya Ving’awe wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Akizungumza
READ MORENaibu Mrajisi wa vyama vya Ushirika nchini Charles Malunde amewataka wanafunzi wanaosoma vyuo mbalimbali hapa nchini kuwa na ndoto za kuajiri kuanzia watu 5 na kuendelea pindi wanapomaliza masomo na si kutegemea kuajiriwa na serikali . Malunde amesema hayo wakati akitoa mafunzo ya ujasiriamali katika jumuisho la pamoja kutoka umoja wa Wanafunzi wa kanisa la
READ MORE