• WAZIRI AWESO AMEMUAGIZA KATIBU MKUU KUCHIMBA VISIMA VIWILI VIKUBWA JIJINI DODOMA.0

    WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso  ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani ya zaidi ya milioni 200 unaotarajiwa kupunguza adha ya maji kwa mkoa wa Dodoma huku akimuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kuhakikisha vinachimbwa visima vingine vikubwa viwili .  Waziri Aweso ameyasema hayo leo Jijini Dodoma  wakati akizungumza na waandishi

    READ MORE
  • TAARIFA YA AKONO AKONO.

    TAARIFA YA AKONO AKONO.0

      Azam Football Club imemuuza mchezaji wake Alain Thierry Akono Akono kwenda klabu ya Negeri Sembilan ya Malaysia. Akono alijiunga na Azam FC mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya AS Fortuna ya Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili.  Akono anakuwa mchezaji wa tatu kuuzwa na Azam FC msimu huu. Alianza Novatus Dismas aliyetimkia Israel,

    READ MORE
  • Serikali kuja na mfumo wa Tehama wa ufuatiliaji dawa.0

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kuanzisha mfumo wa Tehama kufuatilia mnyororo mzima wa utoaji wa dawa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma vyote nchini. Hayo yamesemwa leo na Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto wakati wa kikao kazi cha

    READ MORE
Translate »