RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Serikali ya Tanzania na Burundi zimekutana mkoani Kigoma kujadili namna nchi hizo mbili zinavyoweza kushirikiana katika sekta ya madini ili kukuza uchumi wa nchi kwa pamoja kupitia rasilimali hiyo . Kikao hicho kimehusisha balozi wa Tanzania nchini Burundi Dr Jilly Maleko na Balozi mdogo wa Burundi nchini Tanzania Kabura Cyriaque pamoja na watalamu wa madini
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza kazi zinazofanywa na Taasisi ya Mkapa Foundation ikiwa ni pamoja na kuunga mkono juhudi za kuimarisha sekta ya afya hapa Zanzibar Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo wakati alipokuta na Uongozi wa Taasisi ya Mkapa iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya
READ MORENaibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt Festo Dugange (MB) ametoa muda wa siku 30 kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe kuhakikisha wanafanya maboresho ya utoaji huduma katika Kituo cha Afya Kata ya Wanging’ombe. Februari 15/2021 akiwa kwenye ziara ya kikazi Jimboni Kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na kusikiliza kero
READ MORE