• Malawi yaipongeza Tanzania kwa uratibu wa NGO

    Malawi yaipongeza Tanzania kwa uratibu wa NGO0

    Na Barnabas kisengi Dodoma February  16 2021 Serikali ya Malawi imepongeza Tanzania kwa jitihada zake za kuwaletea maendeleo Wananchi wake ikiwa ni pamoja na Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ili kuhakikisha yanachangia katika maendeleo ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Jinsia, Maendeleo na Ustawi wa Jamii wa Malawi, Patricia Kaliati katika

    READ MORE
  • Rais Dkt. Mwinyi leo amewaongoza wananchi katika mazishi ya Marehemu Dkt. Mohamed Seif Khatib kijijini kwao Umbuji, Mkoa wa Kusini Unguja.

    Rais Dkt. Mwinyi leo amewaongoza wananchi katika mazishi ya Marehemu Dkt. Mohamed Seif Khatib kijijini kwao Umbuji, Mkoa wa Kusini Unguja.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewaongoza wananchi katika mazishi ya Marehemu Dk. Mohamed Seif Khatib yaliyofanyika huko kijijini kwao Umbuji, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja. Viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa,dini na Serikali pamoja na wananchi walihudhuria katika mazishi hayo ambapo mapema

    READ MORE
  • KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA ATEMBELEA TANZANIA

    KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA ATEMBELEA TANZANIA0

    Na Barnabas kisengi Dodoma  February  16  2021 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Faustine Ndugulile amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa umoja  Posta Afrika lengo ni namna ya kuendelea kuimarisha sekta ya   Akizungumza  leo Februari  16,2021  jijini Dodoma Dkt.Ndugulile amebainisha  kuwa  hiyo ni katika kuboresha sekta ya Mawasiliano na sura mpya ya utendaji wa shirika la posta Tanzania. Waziri wa

    READ MORE
Translate »