MHE. KATAMBI AMEKAGUA MAANDAZILI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE KILIMANJARO0
Naaibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameeleza hadi sasa maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge wa uhuru yamefikia zaidi ya asilimia 90 huku akihimiza Mkoa wa Kilimanjaro kuhakikisha unahamasisha wananchi kushiriki kwa wingi katika tukio hilo la kihistoria. Amesema hayo wakati akikagua maandalizi ya
READ MORE