MKURUGENZI MPYA TAKUKURU AKABIDHIWA OFISI
- Kitaifa
- May 22, 2021
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ili kuweza kuweza kutoa huduma za matibabu sahii kupitia watoa huduma za afya nchini.Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa maabara Bw. Medard Beyanga wakati akiongea na Kaimu Mkuu
READ MORE. . Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Serikali imeeleza inao wajibu kuwaenzi waandishi wake kama ambavyo inapaswa kuwaenzi watu wengine wote wanaoweka jitihada za dhati kwa manufaa chanya ya taifa. Namna ya kwanza ya kuthamini jitihada za waandishi wa vitabu ni kununua na kusoma kazi zao. Kama alivyopata kusema mwandishi nguli wa Afrika Mashariki,
READ MORE