
- Dini, Habari, Kitaifa
- July 18, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kwa mara ya kwanza Maadhimisho ya siku ya Mwaka mpya wa Kiislamu;Mwaka 1445 Hijriya kutambuliwa na Serikali kuwa ni siku ya mapumziko. Serikali imekubali ombi la Waislamu kuhusu kuiadhimisha siku hii na kuwa ya mapumziko kwa madhumuni ya kuipa hadhi na
READ MORE
- Dini, Habari, Kitaifa
- July 10, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kumsalia Marehemu Bi Maryam Mwinyi Khatib katika Masjid Taqwa Mwanakwerekwe, aliyefariki dunia mapema leo asubuhi. Marehemu Bi Maryam ni Mama yake Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe.Yahya Rashid. Bi Maryam amezikwa leo Muungoni Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
READ MORE
- Dini, Habari, Kitaifa
- July 10, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amempongeza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali wa Tatu wa Tanzania . Ameungana na Watanzania na kumtakia heri kwa majukumu yake mapya katika Kanisa Katoliki nchini
READ MORE