• SOMO LA SIKU: KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA.

  SOMO LA SIKU: KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA.0

  MATHAYO SURA YA 27 NA 28.

  READ MORE
 • Mbwa na Mfupa.

  Mbwa na Mfupa.0

  Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka….pumzi ikanishuka.Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo….Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..Nilipoona kitu mbwa alichodondosha…Nikajifunza somo kubwa sana..MBWA alidondosha *Mfupa wa nyama* …..Simple…..Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!! *Hii ni akili kubwa sana*  *_ACHA MFUPA_* KUNA MIFUPA TUMEING’ANG’ANIA 2020TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA

  READ MORE
 • *MAAJABU YA TAI*

  *MAAJABU YA TAI*0

  Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu. Akifikia umri wa miaka 40, makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula, mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake yanakuwa mazito na kunata kwenye kifua chake hivyo kumfanya kuwa

  READ MORE
Translate »