• RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULINDA NA KUIMARISHA AFYA ZA WATANZANIA-MAJALIWA

  RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULINDA NA KUIMARISHA AFYA ZA WATANZANIA-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kulinda na kuimarisha afya za Watanzania hasa wakati huu tunapoelekea kutimiza dira ya kuutokomeza UKIMWI nchini ifikapo mwaka 2030. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Novemba 26, 2021) wakati akifungua Kongamano la Kisayansi la Kitaifa Kuhusu

  READ MORE
 • RAIS DK.MWINYI ZIARA KUANGALIA KUHARIBIKA KWA MIUNDOMBINU YA MAJI

  RAIS DK.MWINYI ZIARA KUANGALIA KUHARIBIKA KWA MIUNDOMBINU YA MAJI0

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Mji wa Zanzibar inapatiwa ufumbuzi wa haraka ili wananchi waendelee kupata huduma hiyo ipasavyo. Dk. Mwinyi ametoa agizo hilo leo wakati alipotembelea na kukagua

  READ MORE
 • ANDAENI PROGRAM ZA UKUZAJI AJIRA-MAJALIWA

  ANDAENI PROGRAM ZA UKUZAJI AJIRA-MAJALIWA0

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza wizara zote zenye dhamana ya ukuzaji ajira kuhakikisha zinaandaa programu na mikakati bora ya ukuzaji ajira ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wadau wote nchini washiriki katika utekelezaji wake ili kukabiliana na changamoto za ukosefu wa ajira Pia, Mheshimiwa Majaliwa amezielekeza Ofisi na Wizara zote zenye dhamana za uwekezaji na biashara

  READ MORE
 • Makamu wa Rais Mhe. Hemed amewaongoza waumini katika maziko ya Kamishna Makame Juma Pandu.

  Makamu wa Rais Mhe. Hemed amewaongoza waumini katika maziko ya Kamishna Makame Juma Pandu.0

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewaongoza waumini na wananchi katika maziko ya aliekuwa Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Makame Juma Pandu. Mhe. Hemed amejumuika na wanafamilia pamoja na watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuustiri mwili wa marehemu Kamshna Makame Juma Pandu katika makaburi ya Mwanakwerekwe

  READ MORE
 • ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO.

  ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO.0

  ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO KWA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KWA MWEZI JULAI – OKTOBA, 2021 Bonyeza maandishi mekundu hapo chini👇👇 ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO KWA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KWA MWEZI JULAI – OKTOBA, 2021.pdf

  READ MORE
 • Rais Samia amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 118.

  Rais Samia amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 118.0

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 22 Novemba, 2021 amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 118 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 02/18 wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi  na kundi la 08/18 Jeshi la Anga, katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Jeshi

  READ MORE

Latest Posts

Top Authors

Translate »