• Makamu wa Rais amefunga Kongamano la Nishati.

    Makamu wa Rais amefunga Kongamano la Nishati.0

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman leo Septemba 21 amefunga Kongamano la Nishati lililofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.

    READ MORE
  • TANZANIA ITAKUWA MZALISHAJI MKUBWA WA NISHATI.

    TANZANIA ITAKUWA MZALISHAJI MKUBWA WA NISHATI.0

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023  amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada tutauza nje ya nchi.“ Mheshimiwa

    READ MORE
  • Rais Mwinyi Amekutana na Makamu wa Rais wa Uganda.

    Rais Mwinyi Amekutana na Makamu wa Rais wa Uganda.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi akimaliza ziara yake nchini Cuba, amekutana na Makamu wa Rais wa Uganda Mhe. Jessica Alupo pamoja na ujumbe wa Wizara ya Kilimo ya Cuba ikiongozwa na Naibu wa Wizara huyo Mhe. Bernado. Rais Dk Mwinyi katika mazungumzo hayo alimshawishi Makamu huyo

    READ MORE
  • ONYO KWA WATOA LESENI ZA UCHIMBAJI.

    ONYO KWA WATOA LESENI ZA UCHIMBAJI.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa maafisa wanaohusika na utoaji wa leseni za madini kuacha tabia ya kuwazunguka wananchi wanaokwenda katika ofisi zao kuomba leseni za uchimbaji baada ya kubaini uwepo wa madini kwenye baadhi ya maeneo na kisha kuwapa wachimbaji wengine.  ”…Acheni tabia ya kuwaonea wananchi wanaotoka kwenye maeneo yenye fursa ya madini

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AMEWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA MBOLEA.

    WAZIRI MKUU AMEWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA MBOLEA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko huo leo (Alhamisi, Julai 27, 2023) wakati akizungumza kwenye mjadala uliohusu Uimarishaji wa Soko la Mbolea kama njia ya kuondoa njaa barani Afrika uliofanyika kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum, jijini St.

    READ MORE
  • Wafanyabiashara itumieni sabasaba kujifunza kuhudumia masoko ya kikanda na kimataifa.

    Wafanyabiashara itumieni sabasaba kujifunza kuhudumia masoko ya kikanda na kimataifa.0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wafanyabishara nchini kutumia maonesho ya kibiashara ya kimataifa ya sabasaba sambamba na fursa za makampuni ya kigeni ili kujifunza na kujipanga kuhudumia masoko makubwa ya ndani, kikanda na kimataifa. Amesema  kufunguka kwa Soko la Eneo Huru la Afrika – AfCFTA ambalo linakadiriwa kuwa na walaji zaidi ya bilioni

    READ MORE
Translate »