Mhe. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa katika kiwanda cha karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia wakati alipohitimisha ziara yake tarehe 26 Januari, 2024. Kiwanda hicho kikubwa kinatengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na malighafi ya zao hilo la Karafuu.
READ MORE- Habari, Kimataifa
- January 23, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Masuala ya Fedha kutoka Kituo cha Kusini Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye Mataifa yaliyoendelea, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China uliomalizika Januari 22, 2024 katika ukumbi wa Rwenzori Speke Resort Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda.
READ MORE- Habari, Kimataifa
- January 16, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip lsdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich nchini Uswisi. Tarehe 14 Januari 2024.
READ MORE