
Na Mwandishi Wetu Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika masuala ya Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu, amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na utendaji wenye matokeo. Dkt. Jingu amesema hayo wakati wa mkutano wa watumishi wa ofisi yake uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya
READ MORE
Na Moreen Rojas, Dodoma. Katibu Msaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya kati Dodoma Bi. Jasmini Awadhi amewataka wakuu wapya wa wilaya walioteuliwa kuheshimu na kuviishi viapo vyao walivyoviapa kwa uadilifu na uaminifu mkubwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Bi Awadhi ametoa kauli hiyo alipokuwa akitoa kiapo cha
READ MORE
Na Barnabas Kisengi Dodoma Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya chimba Mkoani Dodoma uapisho imefanyika Januari 30.2023 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali ya mkoa na wilaya, viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini.
READ MORE