Mbwa na Mfupa.

Mbwa na Mfupa.

Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka….pumzi ikanishuka.Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo….Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..Nilipoona kitu mbwa alichodondosha…Nikajifunza somo kubwa sana..MBWA alidondosha *Mfupa wa nyama* …..Simple…..Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!! *Hii ni akili kubwa sana*  *_ACHA MFUPA_* KUNA MIFUPA TUMEING’ANG’ANIA 2020TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA

Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka….pumzi ikanishuka.
Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo….
Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..Nilipoona kitu mbwa alichodondosha…Nikajifunza somo kubwa sana..MBWA alidondosha *Mfupa wa nyama* …..
Simple…..Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!
 *Hii ni akili kubwa sana* 
 *_ACHA MFUPA_* KUNA MIFUPA TUMEING’ANG’ANIA 2020
TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA ….MWAKA 2021 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZAKUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA *2020* 
 _*NA HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO*_ 
HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU.. TUSIVUKE 2020 NA MIFUPA YETU.
 *TUIDONDOSHE HARAKA SANA* 
 _UZITO TULIONAO WA KUOMBA MSAADA WA MAWAZO NI MFUPA.._ 
 _KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA.._ 
 _KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA_ 
 _KUTO WAHI KAZINI NA KUTOTIMIZA MAJUKUMU YATU IPASAVYO NI MFUPA_ 
 _KUTOHUDHURIA IBAADA HUU HATA FISI HAWEZI KUULA_ 
 _KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA_ 
 _KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA_ 
HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.
 *TUDONDOSHE MFUPA….* *ILI 2021 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU* 
MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MFUPA INAKUCHELEWESHA.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »