Magufuli kuapishwa kesho Dodoma.

  Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akila kiapo kulitumikia Taifa mwaka 2015 kwa mhula wa kwanza Akizungumza na waandishi wa habari,katibu mkuu wa itikadi na uenezi wa Chama cha mapinduzi ndugu Hamphrey Polepole amewataka wananchi wa mkoa wa Dodoma kujitokeza kwa wingi katika tukio hilo. Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe Mahenge amewahakikishia

  Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akila kiapo kulitumikia Taifa mwaka 2015 kwa mhula wa kwanza

  Akizungumza na waandishi wa habari,katibu mkuu wa itikadi na uenezi wa Chama cha mapinduzi ndugu Hamphrey Polepole amewataka wananchi wa mkoa wa Dodoma kujitokeza kwa wingi katika tukio hilo.

  Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe Mahenge amewahakikishia usalama kuimarika katika tukio hilo.

  Jfive Team
  ADMINISTRATOR
  PROFILE

  Posts Carousel

  Leave a Comment

  Your email address will not be published. Required fields are marked with *

  Translate »