• MSIMAMO WA LIGI KUU SOKA TANZANIA (NBC PREMIERE LEAGUE

  MSIMAMO WA LIGI KUU SOKA TANZANIA (NBC PREMIERE LEAGUE0

  Updates za Msimamo wa Ligi mpaka saivi👇 Simba amesalia nafasi ya Pili akiwa na Point 25 tofauti ya Point 10 ya Yanga ambae anaongoza Msimamo wa Ligi mpaka saaa hivi akiwa na pointi 35

  READ MORE
 • SIMBA AANGUKIA PUA KAGERA, KIIZA ANG’ARA

  SIMBA AANGUKIA PUA KAGERA, KIIZA ANG’ARA0

  Mabingwa watetezi wa Simba kwa mara ya pili wameendelea kugawa pointi katika mechi ya za Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Shujaa wa Kagera Sugar ni Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Simba Hamisi Kiiza mnamo dakika ya 71 aliwanyanyua mashabiki

  READ MORE
 • MUKOKO TONOMBE AONDOKA YANGA

  MUKOKO TONOMBE AONDOKA YANGA0

  Club ya Yanga imetangaza kuwa Kiungo wao Tonombe Mukoko kutokea Congo DR anaondoka na kujiunga na TP Mazembe ya kwao Congo, Yanga hawajaweka wazi Mukoko kama ameenda kwa mkopo au ameuzwa jumla ila taarifa zilizopo alikuwa na mkataba wa miezi sita na Yanga.

  READ MORE
 • YANGA YAZIDING’ARA, YAMCHAPA POLISI UGENINI

  YANGA YAZIDING’ARA, YAMCHAPA POLISI UGENINI0

  Vinara wa Ligi Kuu Tanzania bara timu ya Yanga imeendelea na wimbi la ushindi baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Tanzania Polisi mchezo uliopigwa katika uwanja wa Shekhe Amri Abeid, jijini Arusha. Shujaa wa Yanga ni winga mchachari aliyetokea benchi Dickson Ambundo aliwanyanyua washabiki wa Yanga dakika ya 64 akimalizia pasi ya  Fiston

  READ MORE
 • Pauline Gekul: Ni Matunda Ya Rais Samia Kuwa Mchezaji Wetu Wa Tembo Warriors Anakwenda Katika Majaribio Nchini Uturuki

  Pauline Gekul: Ni Matunda Ya Rais Samia Kuwa Mchezaji Wetu Wa Tembo Warriors Anakwenda Katika Majaribio Nchini Uturuki0

  Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana kwa watanzania kujivunia mchezaji wa Timu ya Taifa ya

  READ MORE
 • MSHAMBULIAJI WA TP MAZEMBE ATUA YANGA

  MSHAMBULIAJI WA TP MAZEMBE ATUA YANGA0

  Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji, Chicco Ushindi aliyekuwa akiitumikia klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo. Chicco anakuwa mchezaji wa sita kusajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili, wachezaji wengini ni kipa Abdallah Mshery kutoka Mtibwa Sugar, kiungo Salum Abubakar ‘ Sure Boy’ kutoka Azam FC, winga Dennis Nkane kutoka Biashara United, Mshambuliaji

  READ MORE
Translate »