• 0

    Habari picha familia ya Mr $ Mrs Barnabas kisengi wa kilimani Dodoma wanawatakiwa wanafamilia wote na watanzania kwa ujumla heri ya sikukuu ya wapendanao VALENTINE DAY tunawatakia heri ya sikukuu hii ambayo kila ifikapo February 14 kila mwaka ni siku muhimu ya Valentine Day tunawatakia upendo,amani na utulivu katika kusherekea sikukuu hiiREAD MORE
  • Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.

    Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.0

    February  10 2021 Habari picha: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali pindi mnapo maliza masomo kuna ujuzi wa fani mbalimbali jitokezeni kujifunza fani mbalimbali ili uweze kujiajiri na kuwaajiri wengine ili kuweza kupata kipato na kujikwimu kimaisha na kuacha kuwa tegemezi kwa familia na serikali katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni kauli ya fundi ujenzi

    READ MORE
Translate »