Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema kitendo cha Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuanza kutumia rasmi mfumo wa usaili wa kidigitali unaomuwezesha mwombaji kusailiwa eneo alilopo badala ya kusafiri umbali mrefu, ili kupunguza gharama kwa Serikali na kwa wanaosailiwa ni mafanikio makubwa
READ MORE- ELIMU, Habari, Kitaifa
- March 25, 2024
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi. Amesema kuwa utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo. “Ili kufanikisha haya tunahitaji sekta hii kuwa bora, imara, inayokidhi mahitaji ya jamii kwa
READ MORE- ELIMU, Habari, Kitaifa
- January 25, 2024
Bofya hapo kupata matokeo kidato cha nne 2023. https://www.necta.go.tz/
READ MORE