SMBA MGUU NDANI MAKUNDI KLABU BINGWA

SMBA  MGUU NDANI MAKUNDI KLABU BINGWA

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinyuka timu ya Primeiro de Agosto Fc kwa mabao 3-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye nchini Angola hivyo nakuwa na faida kwa Simba ambaye atasubiri kucheza mchezo wa marudiano ili aweze kufuzu hatua ya makundi. Simba Sc iimepata mabao kupitia kwa wachezaji wake Clautos Chama, Israel Mwenda pamoja na mshambuliaji wao hatari

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinyuka timu ya Primeiro de Agosto Fc kwa mabao 3-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye nchini Angola hivyo nakuwa na faida kwa Simba ambaye atasubiri kucheza mchezo wa marudiano ili aweze kufuzu hatua ya makundi.

Simba Sc iimepata mabao kupitia kwa wachezaji wake Clautos Chama, Israel Mwenda pamoja na mshambuliaji wao hatari Moses Phiri.

Simba Sc ilianza kupata bao la kwanza dakika za mwanzo kipindi cha kwanza kupitia kwa kiungo wao Chama na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele kwa bao 1-0.

Bao la timu ya Primeiro de Agosto Fc lilifungwa dakika za lala salama kupitia kwa mkwaju wa penalti.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »