• Tanzania ni  Jamhuri ya Wapambanaji, Bado nafasi tunayo: Mhe.Gekul

    Tanzania ni Jamhuri ya Wapambanaji, Bado nafasi tunayo: Mhe.Gekul0

    Na Shamimu Nyaki-  Goa, India Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, ameendelea kuwatia hamasa na moyo Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Umri wa miaka 17 Serengeti Girls inayoshiriki Kombe la Dunia nchini India. Akizungumza na timu hiyo mara baada ya mchezo   uliochezwa Oktoba 12, 2022 uliomalizika kwa Japan kuifunga

    READ MORE
  • SMBA  MGUU NDANI MAKUNDI KLABU BINGWA

    SMBA MGUU NDANI MAKUNDI KLABU BINGWA0

    Klabu ya Simba imefanikiwa kuinyuka timu ya Primeiro de Agosto Fc kwa mabao 3-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye nchini Angola hivyo nakuwa na faida kwa Simba ambaye atasubiri kucheza mchezo wa marudiano ili aweze kufuzu hatua ya makundi. Simba Sc iimepata mabao kupitia kwa wachezaji wake Clautos Chama, Israel Mwenda pamoja na mshambuliaji wao hatari

    READ MORE
  • ZAIDI YA TSH. MILIONI 183 KUHUDUMIA TIMU ZA TAIFA

    ZAIDI YA TSH. MILIONI 183 KUHUDUMIA TIMU ZA TAIFA0

    Na Shamimu Nyaki Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul, amesema kiasi cha shilingi Milioni 183.5 zimetengwa katika mwaka huu wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuhudumia timu za Taifa. Mhe.Gekul ameeleza hayo Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 22, 2022 wakati akijibu swali la Mhe.Janeth Elius Mahawanga (Viti Maalum) aliyeuliza ni lini Serikali

    READ MORE
  • TFF YAMRUHUSU KISINDA YANGA, KAMBOLE AONDOLEWA

    TFF YAMRUHUSU KISINDA YANGA, KAMBOLE AONDOLEWA0

    Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza rasmi kuwa Tuisila Kisinda sasa anaruhusiwa kuichezea Yanga SC baada ya Yanga kumtoa Lazarous Kambole na kwenda kujiunga na Wakiso Giants ya Uganda. Awali usajili huo ulizuiwa kutokana na Yanga kuwa tayari na idadi ya wachezaji 12 wa

    READ MORE
  • #BREAKING: MANARA APUNGUZIWA HUKUMU

    #BREAKING: MANARA APUNGUZIWA HUKUMU0

    Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo limetangaza maamuzi ya kamati hiyo kuhusiana na hukumu ya Haji Manara ya kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka pamoja na faini ya Tsh milioni 20. Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya Maadili ya TFF Richard Mbaruku amesema wamepitia rufaa ya Haji Manara na kuona

    READ MORE
  • MGUNDA AENDELEZA FURAHA SIMBA

    MGUNDA AENDELEZA FURAHA SIMBA0

    KLABU ya Simba imeffanikiwa kuichapa Tanzania Prison kwa bao  la dakika za lala salama kupitia kwa kiungo wake Jonas Mkude akipokea  pasi ya kichwa kutoka kwa Kibu Denis dakika ya 86 ya mchezo. Mchezo huo ambao ulichezawa katika dimba la Sokoine Mbeya, Tanzania Prison  walikuwa wenyeji waliweza kuwazuia Simba kutopata bao kwa dakika zote kipindi

    READ MORE
Translate »