Jopo la Madaktari Bingwa 6 waongoza Kambi ya siku tatu ya upasuaji wa Ngiri Maji (Mabusha) kwa Zaidi ya wananchi 50 bila malipo katika Hospitali ya wilaya ya Utete chini ya ufadhili wa wawekezaji wa kilimo cha miwa na Kiwanda cha Sukari Rufiji (lake Agro). Meneja Rasimali watu kutoka Kampuni ya Lake Agro Innocent Mwaipopo
READ MOREMkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, nchi ya Tanzania itakuwa mstari wa mbele katika utekelezaji wa maazimio yatakayotokana na Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Mtaji wa Rasilimali Watu unaoendelea kufanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili kuanzia leo Julai 25 na 26,
READ MORE