• WAZIRI MKUU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA.

    WAZIRI MKUU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa  kuna zaidi ya miradi 1,134 ambayo imesajiliwa kutoka makampuni ya China na hivyo kuchangia ajira kwa Watanzania.

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AMEZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUHUDUMIA WAWEKEZAJI

    WAZIRI MKUU AMEZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUHUDUMIA WAWEKEZAJI0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini. Ameyasema hayo jana usiku (Jumatatu, Septemba 25, 2023) wakati akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa Mfumo wa

    READ MORE
  • MSIBAMBIKIE WATU KESI ZA UONGO – CP HAMAD.

    MSIBAMBIKIE WATU KESI ZA UONGO – CP HAMAD.0

    Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. HAMAD KHAMIS HAMAD amewataka wananchi kuwacha tabia ya kutumia Vituo vya Polisi kushitaki kesi za uongo kwa lengo la kukomoana. Akikagua Mradi wa ujenzi wa Jengo jipya la Kituo cha polisi Mkoani, katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba ambacho kimegharimu Milioni mia saba, amesema wapo baadhi ya watu

    READ MORE
Translate »