- Habari, KIJAMII
- August 25, 2023
OFISI ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeanza kufanya tathmini na mchakato wa mapitio ya Sera ya Maendeleo na Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu ya mwaka 2004 ili kukidhi mahitaji ya sasa. Akifungua kikao cha wadau Agosti 24, 2023 jijini Dodoma cha kupitia taarifa ya awali ya mapitio hayo, Katibu Mkuu wa
READ MORE
- Habari, KIJAMII
- August 25, 2023
Serikali imewataka Wadau mbalimbali kuendelea kupambana dhidi ya ukatili wa kijinsia nchini kwa kuunganisha nguvu hasa kushirikiana na Serikali kutoa elimu kwa wananchi.Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa kikao cha kuwapongeza na kutoa tuzo kwa Wadau na mabalozi waliowezesha uzinduzi wa Kampeni
READ MORE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene, amewataka wananchi kuibua miradi ya kimkakati katika maeneo yao ili Serikali iweze kusaidia katika ukamilishaji wa miradi hiyo. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti katika Kata ya Luhundwa, Lufu, Wangi na Wotta, Wilayani Mpwapwa, Mkoani Dodoma
READ MORE