• YANGA NI RAHA TUPU

    YANGA NI RAHA TUPU0

    KLABU ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa mbao 3-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini dar es Salaam. Mabao ya Yanga yaliwekwa kimyani na mshambuliaji Fiston Mayele , Djuma Shaban pamoja na Azizi Ki ambaye alifunga idadi ya mabao kwenye mchezo huo ambao

    READ MORE
  • SIMBA WANG’ARA UGENINI KLABU BINGWA AFRIKA

    SIMBA WANG’ARA UGENINI KLABU BINGWA AFRIKA0

    KLABU ya soka ya SIMBA SC wameng’ara  ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa  mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi. Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika ya 29 na mnamo dakika ya 83 John Bocco aliiandikia timu

    READ MORE
  • YANGA YAMPIGA ZALAN 4G KLABU BINGWA AFRIKA

    YANGA YAMPIGA ZALAN 4G KLABU BINGWA AFRIKA0

    KLABU ya Soka ya Yanga SC imeanza vyema katika kampeni za kuwania kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa baada ya kuwachapa mabao 4-0 wenyeji Zalan FC kutoka nchini Sudan Kusini mchezo wa  mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Yanga

    READ MORE
Translate »