Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Dunia kutoka kwa Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali waREAD MORE
Makamu wa Rais Dkt Philip Isdor Mpango amewasili Stockholm Sweden ambapo atahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa. Makamu wa Rais Dkt Philip Isdor Mpango amewasili Stockholm Sweden ambapo atahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa.READ MORE
Mhe. Bashugwa ametoa siku kumi na nne kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo, Kamati ya fedha na uongozi wa kituo cha Mabasi cha Magufuli kufanya mapitio na kupeleka mapendekezo ya changamoto ya Wapangaji katika kituo hicho ya kulalamikia kiwango kikubwa cha kodi ya pango ambapo wameeleza kwa sasa kiwango cha pango ni shilingi 40,000 kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano na Wandishi wa Habari, Ikulu Zanzibar leo May 31,2022.READ MORE