• DK.MABODI AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KASKAZINI UNGUJA

  DK.MABODI AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KASKAZINI UNGUJA0

  VIONGOZI na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kuwanufaisha wananchi wa maeneo husika. Maelekezo hayo yametolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi, katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Wilaya ya Kaskazini ‘A’

  READ MORE
 • CCM YAVUNJA UKIMYA KUHUSU KATIBA MPYA,

  CCM YAVUNJA UKIMYA KUHUSU KATIBA MPYA,0

  Yasema kwa sasa sio kipaumbele chake.Yajielekeza katika kujenga nchi kwanza Na Mwandishi Maalum-Tanga. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina  agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga  nchi kwa ukamilishaji wa miradi mikubwa ya kimkakati, kupambana na umasikini, kuboresha huduma za kijamii, kuboresha mazingira ya biashara, kuzidisha ustawi wa

  READ MORE
 • Mwenyekiti wa UVCCM ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana.

  Mwenyekiti wa UVCCM ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana.0

  Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani Samaha Said ameutaka uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kuwasaidia kikundi cha vijana wa ukusanyaji wa taka majumbani ili waweze kuendeleza biashara yao na waweze kurejesha deni la mkopo milioni 7.5 walizokopa halmashauri hiyo. Amesema hayo akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa

  READ MORE
 • Kanali mstaafu Lubinga amewataka viongozi wa ccm  Lushoto na Mkinga kuimarisha mashina ya CCM.

  Kanali mstaafu Lubinga amewataka viongozi wa ccm Lushoto na Mkinga kuimarisha mashina ya CCM.0

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga amewataka viongozi wa mashina ya Chama, katika wilaya za Lushoto na Mkinga mkoani Tanga, kuimarisha mashina ya CCM kwa kuongeza wanachama. Akizungumza kwa nyakati tofauti akiwa katika ziara ya kutembelea mashina ya Chama katika wilaya hizo, Lubinga alitoa wito wa mashina

  READ MORE
 • MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA FEDHA

  MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA FEDHA0

  Maelekezo ya CCM kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/22. 1.Kuimarisha Ofisi ya Msajili wa Hazina. 2.Ukuzaji wa uchumi. 3. Udhibiti wa mfumuko wa Bei. 4.Kupunguza Utegemezi wa Kibajeti. 5. Uhimilivu wa Deni la Taifa. 6.Uimarishaji wa mifuko ya utaoji wa mikopo

  READ MORE
 • NEC YATANGAZA RATIBA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE

  NEC YATANGAZA RATIBA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE0

  Na Mwandishi Wetu-Dodoma TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba na Kata 6 za Tanzania bara. Tayari Tume imekwisha kupokea Barua kutoka kwa Spika wa Bunge kuwa kiti hicho kiko wazi.Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya habari Jijini Dodoma leo,

  READ MORE
Translate »