Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Dunia kutoka kwa Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali wa
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *