HISTORI FUPI YA NABII TB JOSHUA.

HISTORI FUPI YA NABII TB JOSHUA.

The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) ni huduma kubwa ya uamsho iliyopo Lagos, Nageria iliyoanzishwa na B Joshua 1987. Kanisa lilianza na waumini wachache sana na kuendelea kukua hadi kufikia Zaidi ya waumini 50 000 na kuanzisha Kituo cha televeseni Emmanuel TV, ambapo Ibada za wiki zinarushwa mubashara kwenye Emmanue Tv hiyo na kuonekana

Kanisa la kwanza la TB Joshua.
Muonekano wa Ubavuni mwa Kanisa la TB Joshua.
Muonekano wa Mbele wa Kanisa la TB Joshua.
TB Joshua akiwa kwenye maombi.
waumini wa TB Joshua wakiwa nje ya kanisa wakifuatilia ibada kwanjia ya tv.

The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) ni huduma kubwa ya uamsho iliyopo Lagos, Nageria iliyoanzishwa na B Joshua 1987. Kanisa lilianza na waumini wachache sana na kuendelea kukua hadi kufikia Zaidi ya waumini 50 000 na kuanzisha Kituo cha televeseni Emmanuel TV, ambapo Ibada za wiki zinarushwa mubashara kwenye Emmanue Tv hiyo na kuonekana duniani kote na kujipatia wafwasi wengi Zaidi ya milioni tatu kwene mitandao ya kijami na kukadiriwa kukusanya Zaidi ya dola za kimarekani milioni 10 hadi 15, kwa mujibu wa ripoti ya Forbes,ya mwaka 2011.
Temitope Balogun Joshua alikuwa Mchungaji wa Uamsho na mitandaoni.Alikuwa kiongozi na muasisi wa Kanisa la Mataifa Yote(SCOAN) na Mmiliki wa Kituo cha runinga cha Emmanuel TV.
Temitope Balogun Joshua amefariki juni 5,2021.Alizaliwa juni 12,1963.Alifunga ndoa na Bi Evelyn mwaka 1990 na kufnikiwa kupata watoto wawili: Serah Joshua and Promise Joshua.

&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) is a charismatic Christian megachurch located in Lagos, Nigeria
T. B. Joshua started his ministry in 1987.[2] The church started with a handful of members but has since become one of Nigeria’s most influential churches, attracting over 50,000 people[3] to its weekly Sunday services at the headquarters in Ikotun-Egbe, Lagos,Nigeria.
The SCOAN weekly attendance is estimated 50 000 members. The church’s weekly services are broadcast live on Emmanuel TV as well as on The SCOAN’s social media platforms.[23] The SCOAN is particularly popular on social media with 1.4 million YouTube subscribers and 3.5 million Facebook followers.
Net worth: US$10-15 million (Forbes, 2011)

Temitope Balogun Joshua was a Nigerian charismatic pastor, televangelist, and philanthropist. He was the leader and founder of The Synagogue, Church of All Nations, a Christian megachurch that runs the Emmanuel TV television station from Lagos.
TB JOSHUA Died: June 5, 2021
He was Born on June 12, 1963, in Arigidi, Akoko, Ondo State, in Nigeria
TB Joshua married Evelyn Joshua in 1990 and got 2 children:Serah Joshua and Promise Joshua.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »