MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HAYA HAPA
- BREAKING NEWS, ELIMU
- July 5, 2022
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Rehema amefariki dunia siku 32 baadaye tangu kifo cha pacha wake ‘Neema’ kilichotokea Julai 10 mwaka huu. Neema alifariki dunia baada ya hali yake kubadilika
READ MORENi wiki kadhaa sasa tangu Tigo Zantel itangaze rasmi kuwa mdhamini mkuu wa mashindano ya mbio maarufu za Zanzibar International Marathon zinazotarajiwa kufanyika Tarehe 7 Agost 2022 visiwani Zanzibar huku zikiwa na lengo la kutangaza utalii nchini. Akizungumza Leo Agosti 5, zikiwa zimebakia siku mbili kuelekea mbio hizo Mkurugenzi wa Tigo Zantel Kanda ya Zanzibar
READ MORENa Mwandishi Wetu, Watu 10 wakiwemo wanafunzi 8, dereva na mwanamke mmoja wamefariki dunia na wengine 18 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la shule ya king David iliyotokea mapema leo asubuhi Mjini Mtwara wakati wakielekea shuleni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Brigedia Generali Marco Gaguti amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo “Nimepokea salamu za rambirambi kutoka
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, Bw. Jumanne Shauri pamoja na watumishi wengine tisa wa jiji hilo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Serikali ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 10 zilizokusanywa na hazikuwasilishwa benki kama sheria inavyoelekeza. Agizo hilo linatokana na
READ MOREWajumbe wa Mkutano Mkuu wa @yangasc wamempitisha Mhandisi. Hersi Ally Said ambaye alikuwa Mgombea pekee kwa KURA za NDIO kuwa Rais mpya wa Klabu ya Young Africans SC. extraordinarygeneralmeeting JfiveSports
READ MOREBaraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana Hizi
READ MORE