- Bungeni, Kitaifa
- June 10, 2022
*Asisitiza hakuna kijiji kitakachohamishwa tarafa ya Loliondo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania na wana-Loliondo kupuuza upotoshaji unaofanywa na baadhi watu wasiolitakia mema Taifa kuhusu eneo la hifadhi ya Loliondo lililopo Tarafa ya Loliondo na badala yake waendelee kuisikiliza Serikali. “Kilichotokea si uhalisia, hakuna tishio lolote, wale wameenda msituni kuweka alama katika eneo ambalo liko
READ MORE- Bungeni, Habari
- June 9, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa sasa inaimarisha mifumo itakayozuia wanyamapori wakiwemo tembo kuingia katika makazi ya wananchi ili waweze kuishi kwa amani. Amesema baada ya Serikali kuimarisha ulinzi na kuzuia uwindaji haramu kwa sasa nchini kuna ongezeko kubwa la wanyama, hivyo inafanya jitihada kuzuia wanyama hao kuingia katika makazi. Ameyasema hayo leo (Alhamisi,
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kipaumbele kikubwa cha ajira kwa watu wenye ulemavu, hivyo amewataka wajitokeze kwa wingi kuomba nafasi hizo mara yanapotolewa matangazo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Mei 19, 2022) wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Alex Ikupa
READ MORE