MBUNGE: TUME ILIYOKWENDA MTO MARA ICHUNGUZWE

MBUNGE: TUME ILIYOKWENDA MTO MARA ICHUNGUZWE

asalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza “Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake” Mbunge huyo wa Sumve amesema “Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji Uchunguzi wa kina kufahamu chanzo cha Magonjwa ya Saratani Kanda hiyo.

asalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza “Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake”

Mbunge huyo wa Sumve amesema “Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji Uchunguzi wa kina kufahamu chanzo cha Magonjwa ya Saratani Kanda hiyo. Chanzo kikubwa ni Wataalamu wetu wengi wana mazingira ya rushwa. Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa”

Akiwa Mkoani Mwanza Novemba 18, 2021 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Saratani

Alisema, “Kuna sababu kadhaa zinatolewa, wengine tunasema labda ni uchafuzi wa mazingira”

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »