• TPHPA Yadhibiti Ndege aina ya Kweleakwelea Milioni 227.4 na kuokoa Tani 1056.3 za Mazao ya Nafaka

  TPHPA Yadhibiti Ndege aina ya Kweleakwelea Milioni 227.4 na kuokoa Tani 1056.3 za Mazao ya Nafaka0

  Na Moreen Rojas Dodoma Mamlaka ya afya ya mimea na viatilifu Tanzania TPHPA imefanikiwa kudhibiti ndege aina ya kweleakwelea milioni 227.4 na kufanikiwa kuokoa Tani 1056.3 za mazao ya nafaka.Prof.Joseph Ndunguru amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kueleza utekelezaji wa majukumu ya mimea na viatilifu nchini Tanzania. Aidha Prof Joseph amesema

  READ MORE
 • WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA KIPIMO CHA BIDOO

  WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA KIPIMO CHA BIDOO0

  *Kinatumika kupima mafuta ya Mawese WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Tobias Andengenye kwa kushirikiana na SIDO wahakikishe wanaingiza sokoni vipimo rasmi vya kupimia mafuta ya mawese na kuachana na vipimo vya asili maarufu kama BIDOO ambacho kimekuwa kikiwanyonya wakulima. Ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Februari 27, 2023) alipotembelea Viwanda vya Kukamua mafuta

  READ MORE
 • WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUJIVUNIE UVUMBUZI WA MBEGU MPYA YA MICHIKICHI

  WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUJIVUNIE UVUMBUZI WA MBEGU MPYA YA MICHIKICHI0

  Na Mwandishi Wetu kigoma RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUH HASSAN  imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika mazao ya mafuta ikiwemo michikichi.Mageuzi haya yanakwenda sambamba na kupanda miche mipya iliyoboreshwa ambayo ina uzalishaji mkubwa wa mafuta. Wana-Kigoma tuamue sasa hivi tupande michikichi

  READ MORE
Translate »