• MKUU WA WILAYA YA IRAMBA AANZISHA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KUWAKUTANISHA PAMOJA VIJANA

    MKUU WA WILAYA YA IRAMBA AANZISHA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KUWAKUTANISHA PAMOJA VIJANA0

    Na Mwandishi Wetu Iramba Singida Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano ya mpira miguu. Mashindano hayo yanayoratibiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda yanatarajiwa kuanza mapema mara baada ya msimu wa kilimo kumalizika. Mkuu wa Wilaya  Mwenda

    READ MORE
  • YANGA YAWASHANGAZA WAARABU

    YANGA YAWASHANGAZA WAARABU0

     wa Ligi Kuu Tanzania bara Timu ya Yanga imetinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 wenyeji  club Africain mchezo uliopigwa nchini Tunisia. Shujaa wa Yanga ni kiungo mshambuliaji kutoka nchini Burkana faso akitokea benchi aliipatia bao muhimu timu yake dakika ya 79 Stephane Aziz Ki akimalizia pasi

    READ MORE
  • SIMBA YAISULUBU MTIBWA KWA MKAPA

    SIMBA YAISULUBU MTIBWA KWA MKAPA0

    KLABU ya Simba imeamua kuifanyia ukatili Mtibwa Sugar baada ya kuinyeshea mvua ya magoli 5-0 na kuondoka na ushindi huo muhimu wa ligi kuu Tanzania bara. Kipindi cha kwanza Simba Sc ilifanikiwa kupata bao kupitia kwa Mzamiru na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 huku Mtibwa akiwa nusu baada ya mchezaji wake Kitenge kupewa

    READ MORE
  • YANGA, SIMBA HAKUNA MBABE

    YANGA, SIMBA HAKUNA MBABE0

    WAKIWA wenyeji wa Mchezo Mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kutamba mbele ya Simba baada ya kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.Mchezo wa watani wa Jadi uliosimamisha nchi kwa dakika 90 uliohudhuriwa na wadau wa mchezo mashabiki wa timu zote mbili uwanja

    READ MORE
  • WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense WIKI YA PILI NA YA TATU WAPATIKANA

    WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense WIKI YA PILI NA YA TATU WAPATIKANA0

     Na Mwandishi Wetu. • SASA ZIMEBAKIA TIKETI 29 na vifurushi vya vifaa vya nyumbani 24 kutoka Hisense.  Oktoba  21, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzia anaishi maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, kupitia Promosheni yake ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense kwa kushirikiana na kampuni ya HISENSE wametoa tiketi 19 za kwenda Qatar kushuhudia kombe

    READ MORE
  • YANYA YAPANGIWA WAARABU SHIRIKISHO

    YANYA YAPANGIWA WAARABU SHIRIKISHO0

    Droo ya hatua ya mchujo kuwania kutinga makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), inaendelea muda huu Cairo, Misri, ambapo Yanga itacheza na Club Africain ya nchini Tunisia. Yanga ameungukia kwenye michuano hiyo baada ya kuondoshwa na Al Hilal kwenye ligi ya mabingwa kwa jumla ya goli 2-1.

    READ MORE
Translate »