• Mhe. Mchengerwa Aeleza Umuhimu wa Kuwekeza katika Michezo

    Mhe. Mchengerwa Aeleza Umuhimu wa Kuwekeza katika Michezo0

    Na Mwandishi wetu, Birmingham Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa, uwekezaji  katika michezo ni muhimu kwa kuwa unasaidia kutoa ajira na kukuza uchumi wa nchi. Mhe. Mchengerwa ameeleza hayo Julai 27, 2022 katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika Birmingham Uingereza, ambapo amesema ni

    READ MORE
  • TAIFA STARS YAICHAPA SOMALIA KWA MKAPA

    TAIFA STARS YAICHAPA SOMALIA KWA MKAPA0

    TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Somalia, mchezo wa  hatua ya pili ya mchujo ya kuwania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN) kwenye uwanja wa Banjamin Mkapa. Mshambuliaji Mpya wa Azam FC  Abdul Suleiman ‘Sopu’ aliwanyanyua

    READ MORE
  • UJUMBE WA SAKHO BAADA YA KUSHINDA ‘GOLI BORA LA MWAKA’ CAF

    UJUMBE WA SAKHO BAADA YA KUSHINDA ‘GOLI BORA LA MWAKA’ CAF0

    Mshambuliaji wa klabu ya Simba Msenegal Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka 2022 la Afrika katika tuzo ya CAF. Mara baada ya kutwaa Tuzo hiyo, Sakho ameonesha furaha aliyonayo moyoni “Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.”- Pape Sakho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya

    READ MORE
Translate »