• JINSI YA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA UALIMU|AFYA 2022 APPLY NOW

    JINSI YA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA UALIMU|AFYA 2022 APPLY NOW3

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) imepata kibalicha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri,Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondariwatakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hivyo, wahitimu kutoka kwenye

    READ MORE
  • TECNO KUWAPELEKA WATEJA WAO KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA BUREE.

    TECNO KUWAPELEKA WATEJA WAO KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA BUREE.0

    Tembelea maduka ya TECNO na uzawadie ticket ya kwenda kushuhudia maajabu ya mbuga za Wanyama Tanzania, Fridge, Drones, King’amuzi cha DSTV na zawadi nyengine kibao. Zawadi hizi kukabidhiwa na msanii maarufu Elizabeth Michael 15/6/2021 kwa wateja wa simu ya kijanja TECNO Camon 17. https://user.tecno.com/tz/camon17series-activity?uid=359&type=2#/. Twenzetu camping kistaa ni promosheni inayohusisha simu za TECNO Camon 17

    READ MORE
  • Infinix NOTE 10pro Na Helio G95 Chipset Yazinduliwa Rasmi Tanzania.

    Infinix NOTE 10pro Na Helio G95 Chipset Yazinduliwa Rasmi Tanzania.0

    Dar es Salaam : Kampuni ya simu Infinix yazindua rasmi simu mpya kutoka toleo laNOTE-Infinix NOTE 10pro Iijumaa ya 4/6/2021. Infinix na Tigo wameitambulisha Infinix NOTE 10 pro kama simu ya kwanza kwa kampuni ya simu ya Infinix kuja na Helio G95 processor, kamera nne nyuma kamera kuu MP64 na GB78 za internet kutoka Tigo.

    READ MORE
  • TIGO NA INFINIX WAZINDUA SIMU MPYA YA INFINIX NOTE 10 NA NOTE PRO

    TIGO NA INFINIX WAZINDUA SIMU MPYA YA INFINIX NOTE 10 NA NOTE PRO0

    Na Mwandishi Wetu Tarehe 4 Juni 2021, Mtandao namba moja wa Kidigitali Tigo kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Infinix wamezindua Simu mpya ya Infinix Note 10 na Infinix Note 10 Pro katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar Es Salaam. Akizungumza katika Uzinduzi wa Simu hizo Meneja wa bidhaa za Intaneti kutoka Tigo

    READ MORE
  • NAFASI ZA KAZI BENKI KUU YA TANZANIA

    NAFASI ZA KAZI BENKI KUU YA TANZANIA0

    The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office, Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam and Zanzibar and its Branches in Arusha, Mbeya, Mtwara, Mwanza and Training Institute.

    READ MORE
Translate »