Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) imepata kibalicha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri,Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondariwatakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hivyo, wahitimu kutoka kwenye
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) imepata kibali
cha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri,
Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondari
watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya
Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia
tarehe 20 Aprili – 04 Mei, 2022. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa
Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree).
BONYEZA LINK HAPO CHINI KUONA MUONGOZO MZIMA WA KUTUMA MAOMBI
3 Comments
NEEMA MUSSA RICHARD
April 24, 2022, 11:49 amHEARTH
REPLYSophia frolian kairu
April 26, 2022, 7:15 pmAjira.ya walimu wa awali
REPLYEUNICE FELICIAN ALPHONCE
June 20, 2022, 8:40 amUalimu wa watoto wadogo
REPLYMalezi makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto