Na Mauwa Mohammed Zanzibar Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman amesema ameamua kuomba nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho ili apate nafasi ya kushirikiana na wenzake katika kutimiza malengo ya chama hicho. Hayo aliyasema mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huko Afisi Kuu ya Chama