Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
Ni Mafuta yaliyopo Sasa na Yale yaliyopo kwenye Meli. Asema Hakuna uhaba wowote wa Mafuta nchini kwa mafuta ya Dizel, petrol, mafuta ya Taa Na Ndege. Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka Mpango mzuri uliowezesha Nchi kuwa na akiba ya kutosha. Atangaza matokeo ya kamati ya uchunguzi juu ya wezi waliochepusha mafuta bomba kuu
READ MOREWaumini wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kuiombea Dua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili iweze kukamilisha azma ya kuwatumikia wananchi wake. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla alitoa kauli hiyo alipokuwa akiwasalimia waumini wa Masjid Arafa Mombasa alipojumuika nao katika Ibada ya Sala ya Ijumaa. Alisema katika Ibada zilizotiliwa mkazo hasa
READ MOREKwa wiki kadhaaa sasa Mtandao namba moja Tanzania kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania umekua ukiendesha promosheni ifahamikayo kama ” PESA MWAA MWII NA TIGO PESA “ Ambapo takribani milioni 40 zimekua zikitolewa kila wiki kwa washindi 20 wa milioni mbilimbili kwa wiki nne mfululizo , na Leo Aprili 21 , 2022 Droo
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye tabia ya kuwaficha watoto Wenye Ulemavu kuacha mtindo huo badala yake wahakikishe wanawapa fursa ya kupata elimu. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Aprili 21, 2022) alipofuturu na watoto wenye mahitaji maalum wa kituo cha Buigiri, Wilayani Chamwino ambacho kinamilikiwa na Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika. Amesema
READ MORE.
READ MORE