AJALI YA LORI YAMUUA MAUNDA ZORRO

AJALI YA LORI YAMUUA MAUNDA ZORRO

Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022. Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha taarifa hizo na kusema hadi jana jioni alikuwa pamoja na Maunda kwenye msiba wa rafiki yao lakini baadaye akapata

Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022.

Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha taarifa hizo na kusema hadi jana jioni alikuwa pamoja na Maunda kwenye msiba wa rafiki yao lakini baadaye akapata taarifa kuwa Maunda amefariki.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »