RAIS DK.MWINYI AMEWATAKA WAUMINI KUWAOMBEA VIONGOZI.

RAIS DK.MWINYI AMEWATAKA WAUMINI KUWAOMBEA VIONGOZI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuwaombea dua viongozi watimize ahadi walizoahidi pamoja na kukabaliana na changamoto mbalimbali ikiwemo upandaji wa bidhaa za chakula duniani. Rais Mhe.Alhajj Dk..Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuwaombea dua viongozi watimize ahadi walizoahidi pamoja na kukabaliana na changamoto mbalimbali ikiwemo upandaji wa bidhaa za chakula duniani.

Rais Mhe.Alhajj Dk..Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Tawba Mwembe Makumbi, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe :26 Januari 2024.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »