Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameongeza muda wa kuendelea kufanya kazi kisheria kwa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Misitu Tanzania ( TAFF) pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) ambazo muda wake wa kufanya kazi ulikuwa unaishia tarehe 25 Oktoba mwaka huu. Ametoa uamuzi huo mapema
READ MOREAsasi za kiraia (Azaki) zimetakiwa kufanya kazi kwa weledi,uadilifu,uzalendo kwa maslahi mapana ya taifa ikiwa ni pamoja na kutumia tafiti na takwimu vizuri ambazo zitasaidia kutoa majawabu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ya watanzania. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai wakati wa ufunguzi
READ MORE. Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Burundi Tanzania ina uhusiano mzuri na majirani wake na katika miaka ya hivi karibuni imekuwa mshiriki kwa ukamilifu katika juhudi za kuhimiza usuluhilishi wa migogoro kwa njia ya amani. Tanzania ni mwanachama wa vikundi vya kimataifa na kikanda pia inashiriki kwa dhati katika ushirikiano wa baina ya nchi na
READ MORE