- Habari, Kitaifa
- April 4, 2024
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1 ambazo ni sawa na asilimia 95.9 ya lengo la kukusanya sh. trilioni 17.9. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Aprili 3, 2024), wakati akiwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa mwaka 2023/2024 na Mwelekeo
READ MORE- Habari, Kitaifa
- March 28, 2024
Naaibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameeleza hadi sasa maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge wa uhuru yamefikia zaidi ya asilimia 90 huku akihimiza Mkoa wa Kilimanjaro kuhakikisha unahamasisha wananchi kushiriki kwa wingi katika tukio hilo la kihistoria. Amesema hayo wakati akikagua maandalizi ya
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza benki ya NMB kwa kuiunga mkono Serikali kwa kuisaidia jamii ikiwemo watoto wanaoishi katika mazingira magumu. “Kwa kufanya hivi mnapata thawabu kwa kuyagusa maisha ya jamii yenye uhitaji na kuwafanya wajione wenye thamani sawa na wengine. Ninatambua kuwa licha ya kuwakumbuka Watoto wenye uhitaji, mmekuwa mkichangia mahitaji muhimu kwenye shule
READ MORE