Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.

Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.

February  10 2021 Habari picha: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali pindi mnapo maliza masomo kuna ujuzi wa fani mbalimbali jitokezeni kujifunza fani mbalimbali ili uweze kujiajiri na kuwaajiri wengine ili kuweza kupata kipato na kujikwimu kimaisha na kuacha kuwa tegemezi kwa familia na serikali katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni kauli ya fundi ujenzi

February  10 2021


Habari picha: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali pindi mnapo maliza masomo kuna ujuzi wa fani mbalimbali jitokezeni kujifunza fani mbalimbali ili uweze kujiajiri na kuwaajiri wengine ili kuweza kupata kipato na kujikwimu kimaisha na kuacha kuwa tegemezi kwa familia na serikali katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni kauli ya fundi ujenzi mwalu Kama alivyonaswa na camera ya Jfive one line blog katika mtaa wa chinyoyo Kata ya kilimani jijini Dodoma akiwa katika shughuli ya ujenzi na kujipatia kipato (picha na Barnabas kisengi Dodoma) 

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »