WIZARA YA ELIMU YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WATUMISHI KUHUSU MASUALA YA PROTOKALI
- ELIMU
- November 1, 2022
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amevihimiza vyuo vikuu na taasisi za Elimu Nchini kuendelea kuanzisha programu mpya ambazo ni muhimu katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Nchi ili kuongeza Fursa za ajira. Rais Dk. Mwinyi alieleza hayo kupitia hotouba iliosomwa kwa niaba yake na Makamu wa
READ MORENa Mwandishi Maalum Tengeru Arusha Inaelezwa kuwa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru ni moja ya Taasisi muhimu katika kuleta mabadiliko katika kuleta maendeleo nchini ikiwa ni sehemu inayozalisha wataalam wa Maendeleo ya Jamii wanaotumika kutatua changamoto katika jamii. Hayo yamebainika leo mkoani Arusha katika Kongamano la kitaaluma lililofanyika katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii
READ MORENa Witness Masalu,Mbeya. Ikiwa ni maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia, imebainika kwamba mmomonyoko wa Maadili ni sababu kubwa inayochangia ukatili wa Kijinsia kuendelea Vyuoni hasa Rushwa ya Ngono. Hayo yamejitokeza katika mjadala uliofanyika kwenye Chuo cha Sayansi na Teknolojia mkoani Mbeya wakati msafara wa kupinga ukatili wa Kijinsia ukiendelea kutoa elimu katika
READ MORENa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amemuagiza Kamishna wa Ustawi wa Jamii kushirikiana na Menejimenti ya Taasisi hiyo kuainisha maeneo ya ushirikiano na kupanga mikakati ya pamoja ili kuwatumia wahitimu katika utoaji wa huduma za jamii, tafiti
READ MORE