Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni katika Uwanja wa Jomo Kenyatta.

Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni katika Uwanja wa Jomo Kenyatta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024. Rais Samia anatarajia kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.

Rais Samia anatarajia kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA. IDA ni mfuko maalum wa Benki ya Dunia unaotoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »